![]()
(Verse 1)
Nilimupata mpenzi, nikataka ni
muoneshe show, Nika ingia
kiwanjali, bila dance aaaah
Matokewa nimafungwa, goal (yeah)
(Bridge)
Nilijifanya fundi, kitandani mpaka
Juu ya darling, nanupa yote silindi
Kilicho nikuta, nisha bal
(Chorus)
Ai baba kiuno dhuma, (ai baba
kiuno dhuma), ai mama we gongo
dhuma (ai mama we gongo dhuma)
Ai baba kiuno dhuma, (ai baba
kiuno dhuma), ai mama we gongo
dhuma (ai mama we gongo dhuma
(Verse 2)
Mapenzi ya siku hizi kila mtu na
wake, kambali na mpenzi wangu kuta
kupiga kofi wewe
Siku hizi kila mtu na baby wake
Kambali na baby wangu nitakupa ma
shoot wewe ah,
Kuna kitu kimoja, miye ananichekesha
Busiku hataki tutale anataka kukesha
Niki mutazama babu juma na nesa nesa
Naona hipo, akitaka kunilogesha
(Bridge)
Nilijifanya fundi, kitandani mpaka
Juu ya darling, nanupa yote silindi
Kilicho nikuta, nisha bal
(Chorus)
Ai baba kiuno dhuma, (ai baba
kiuno dhuma), ai mama we gongo
dhuma (ai mama we gongo dhuma)
Ai baba kiuno dhuma, (ai baba
kiuno dhuma), ai mama we gongo
dhuma (ai mama we gongo dhuma
Added by
lyrics africas
WRITE A COMMENT
WRITE A COMMENT

No comments yet