Loading

(Intro)

Nacheka kwa dharau
nawapandisha nawashusa
kama, nacheka kwa dharau
ha ha ha

Nawapandisha nawashusha
kama ha ha ha

(Couplet 1)

Mjini akili nguvu nenda
shamba akalime huoni wenzako
Wajanja kina sniper Mantana

Silaha pesa mambo ya nguvu
mwisho mwisho tarime watu
wanashusha madorime

Kamanda usinipeleke ntakupa
buku tano seke seke lote kwa
puff tano, kete kete tulikuwa
Mtu tano sa mbona naisha
mwenyewe

(Pont)

Mwanamke mwanamke wo wo wo
Mwanaume mwanaume (furusi)
Mwanamke mwanamke wo wo wo
Mwanaume mwanaume

(Refrain)

Nacheka kwa dharau ha ha ha
nawapandisha nawashusha kama
Ha ha ha, nacheka kwa dharau
Ha ha ha, nawapandisha
nawashusha kama ha ha ha

(Couplet 2)

Ye akimwaga mboga mwaga ugali
(bado poa), akikucheat mlipizie
(bado poa), akikucheat mlipizie
(bado poa), kwani vipi kwani vipi…

Weeeee hukui mpaka leo bodo
unalilia mapenzi, Weeeee makuzi
Michezo michezo michezo hiyo

(Pont)

Mwanamke mwanamke wo wo wo
Mwanaume mwanaume (furusi)
Mwanamke mwanamke wo wo wo
Mwanaume mwanaume

(Refrain)

Nacheka kwa dharau ha ha ha
nawapandisha nawashusha kama
Ha ha ha, nacheka kwa dharau
Ha ha ha, nawapandisha
nawashusha kama ha ha ha

Added by

lyrics africas

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *