Loading

(Couplet 1)

Eti mkomboti, wa iphone
chaka chaka ndani sitoki
Jinsi ulivo nikamata

Hiyo mi noti, kwako naimwaga
haraka, ushantowa loki baby
unachotaka nataka

(Pont)

Haya baila baila (baila baila)
baila baila (baila baila)
baila baila (baila baila)
baila baila (baila baila)

Oh baby natala unisogelee (baby)
Nicheze kwa nyuma unibembele
(baby) Nakama unapepo nilikeme
(baby), likome kabisa litokome

(Refrain)

Hapo, hapo, hapo,
Hapo (penyewe apo)
Hapo, hapo, hapo,
Hapo (penyewe apo)

Mwaga buu, Mwaga buu, Mwaga
buu, Mwaga buu, Mwaga buu,
Mwaga buu, Mwaga buu, Mwaga buu

Piga maronya nikupige maronyi
Piga maronya nikupige maronyi
Piga maronya nikupige maronyi
Piga maronya oyaaaaah

(Couplet 2)

Stop, tulia mwenzako nishakula
pweza, ooh utaumia aah
nikikupa utaweza

Sawa macho yake alambe lawa
lawa Aya umenifungia mpaka
kiwaya (Mwaya)

Wenichezeshe ata kiwaya waya
(Mbaya) kama leo ndio inakuwa
(Mbaya)

Nakupa mambo baby (Nakupa
mambo) Nakupa mambo baby
(Nakupa mambo) Nakupa mambo
baby (Nakupa mambo) Nakupa
mambo Ayaa

(Pont)

Haya baila baila (baila baila)
baila baila (baila baila)
baila baila (baila baila)
baila baila (baila baila)

Oh baby natala unisogelee (baby)
Nicheze kwa nyuma unibembele
(baby), Nakama unapepo nilikeme
(baby), likome kabisa litokome

(Refrain)

Hapo, hapo, hapo Hapo (penyewe
apo), hapo (ah unaponigusaga)
hapo (Unapo nishikaga) hapo
(Ah unanipatiaga) hapo (penyewe apo)

Mwaga buu, Mwaga buu, Mwaga
buu, Mwaga buu, Mwaga buu,
Mwaga buu, Mwaga buu, Mwaga buu

Piga maronya nikupige maronyi
Piga maronya nikupige maronyi
Piga maronya nikupige maronyi
Piga maronya oyaaaaah

Added by

lyrics africas

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *