Loading

(Couplet 1)

Nakuoenda leo kesho mpaka
Mtondogoo, sikuachi mamito
Hapo kwako ndo mwisho oh eo
Mchango wako hapa nilipo

Hauna kificho, nikulipe
nini malipo oh eoh,

(Pont)

uhakika kabisa, kwa sasa
nipo huru Mapenzi unayonipa
asante Nashukuru

uwadhifa umenipa Siwezi
kujiudhuru mahaba unayonipa
naazaje kukufuru

(Refrain)

We unavyonipenda me ninavyok-
upenda si tunavyopendana tupo
dunia yetu uuh yetu uuh

We unavyonipenda me ninavyok-
upenda si tunavyopendana tupo
dunia yetu uuh yetu uuh

(Couplet 2)

Kama moto ni wa mkaratusi
penzi Linavyowaka Michezo
yake mi huwaga sichoki
ikizima anaiwasha

Yakikorea kahamishia bongo
hizo raha ninazopata, anipe-
tipeti massage kwa mgongo huku
moyo kaupakata mi nacheza anga
zangu

(zangu) yeye ndo furaha
yangu (yangu) Kiukweli
nimezama Tumeshibana aaah

(pont)

uhakika kabisa, kwa sasa
nipo huru Mapenzi unayonipa
asante Nashukuru

uwadhifa umenipa Siwezi
kujiudhuru mahaba unayonipa
naazaje kukufuru

(Refrain)

We unavyonipenda me ninavyok-
upenda si tunavyopendana tupo
dunia yetu uuh yetu uuh

We unavyonipenda me ninavyok-
upenda si tunavyopendana tupo
dunia yetu uuh yetu uuh

Added by

lyrics africas

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *