![]()
(Refrain)
Kuna mapata mjini
Ila mama sio wewe
Kuna madanga mjini
Ila baba sio wewe
Uamuzi bora nilofanya
Ni mimi kua na wewe
Kama sio wewe ni bora
Niwe mwenyewe
I got you baby, i got
You baby ooooh, i got
you baby, wala Usiwaze
mi nawe habi tamati
(Couplet)
Kwanza waweke karam
tuimbe tucheze Tuki-
kunywa tujigaragaze
Hadharani tuweke
Pacha wangu wa ubani
elewa ni wewe, shida
Zangu zako zangu mzigo
Nipe ni utweke tunapokezana
Ukilemewaa mzigo naupoke-
aa pamoja tunapambana
Ukipata nami nimepata
You’re my guy, you’re my
chaji siwezi kukusaliti
Kisa mtaji, na yadhamini
Mahusiano yetu (namuomba
mungu ayalinde)
And i will ride these
whells until they all
Fall off ukidondoka
nadondoka na wewe
Coz if you ain’t got
love Then what do you
have I’d rather be with
you You’ll discover
(Refrain)
Kuna mapata mjini
Ila mama sio wewe
Kuna madanga mjini
Ila baba sio wewe
Uamuzi bora nilofanya
Ni mimi kua na wewe
Kama sio wewe ni bora
Niwe mwenyewe
I got you baby, i got
You baby ooooh, i got
you baby, wala Usiwaze
mi nawe habi tamati
Added by
lyrics africas
WRITE A COMMENT
WRITE A COMMENT

No comments yet