![]()
(Intro)
Eh mama we
mama we, mama we
Shi! Shi ! Shi!
Alia Kas
(Couplet 1)
Hata waseme ju yetu
tuna songa mbele
Maisha iki bamba
mwanangu tuna songa mbele
Wa rushe, wa seme juu
yetu tuna songa mbele
Eh mama we , mama we,
mama we
Aseme tuko ba motards,
Recette iko chini
Aseme tuko ba tshukudeurs
Siye njo ba chini
Mtoto wa fulani
Ilenjo tabiya gani
Wa shusha wenjako
waki tafuta maisha?
(Refrain)
Hakuna Kazi mbaya ila
watu njo wa jinga
Uki ona, na Pambana
ni fikiye nayo lenga.
Na songa mbele,
na songa mbele
Na songa mbele ni
fikiye nayo lenga.
(Couplet 2)
Mara pengine ni
kwa mengi ume semwa,
Naku pongeza kaza mwendo
Rekebisha step, maisha
ni slow slow…
Usi tumiye mwendo wao
Hujuwe back ground
Wame sema vingapi,
wame tenda vingapi ?
Eh hatua kwa hatua na
endeleya Ku progress
Maneno huko na kule
kwangu hakunaga stress
Na sikika kama pepo mkali
Njiya ni wazi na endeleya
Ku panda …
Hata waseme ju yetu
tuna songa mbele,
Maisha iki bamba
mwanangu tuna songa mbele
Wa rushe, wa seme juu
yetu tuna songa mbele
Eh mama we , mama we,
mama we
(Refrain)
Hakuna Kazi mbaya ila
watu njo wa jinga
Uki ona, na Pambana
ni fikiye nayo lenga.
Na songa mbele,
na songa mbele
Na songa mbele ni
fikiye nayo lenga.
Added by
lyrics africas
WRITE A COMMENT
WRITE A COMMENT

No comments yet