LYRIC
![]()
Uuuuh aaaah kutoka alooh ooh yeah
Aaah mimi apa bila yeyee (yeyee) bila
yeyee siwezi kitu, mimi apa bila
penzi lake, kama sina kila kitu Apeche
Apeche alolo (alolo), sina hata godoro
(godoro), niko do dororo (dororo) Aaah
somebody
Anatembea na moyo wa somebody, ana
hatari mbona somebody, akimchukua
mtu somebody am gona kill somebody
Anatembea na moyo wa somebody, ana
hatari mbona somebody, akimchukua
mtu somebody am gona kill somebody
Mkisikia nimechanganyikiwa msinipe-
leke milembe (milembe), ye ananiju-
lia mia kwa mia maua yote nampa yeye
(nampa yeye) ooooh uuuuh
Bila yeye fukara (fukara), naupendaga
utajiri wa mahaba, bila yeye kituko
(kituko) naupendaga utajiri wa mahaba
Mi kwake apeche
Apeche alolo (alolo), sina hata godoro
(godoro), niko do dororo (dororo) Aaah
somebody
Anatembea na moyo wa somebody, ana
hatari mbona somebody, akimchukua
mtu somebody am gona kill somebody
Anatembea na moyo wa somebody, ana
hatari mbona somebody, akimchukua
mtu somebody am gona kill somebody

No comments yet