LYRIC
![]()
Nioneshe maana ya upendo, nikonyeshe
dhamira ya upendo, ninogeshe pineapple
na mango usiwape hata mwanya wee uni-
zibie pengo
Siwafichi siwafichi leo naweka wazi
wazi kama penzi lingekuwa chuzi li-
mekolea nazi nazi
Siwafichi siwafichi leo naweka wazi
wazi ah, hivi umeshushwa ama umeumbwa
ama umetoroka peponi wewe ?
Malaika, malaika, wewe ndio wangu
malaika, umekosa tu mabawa ila wewe
wangu malaika
Malaika, malaika, wewe ndio wangu
malaika, umekosa tu mabawa ila wewe
wangu malaika
Ni mbosso khan tena malaika ? mbingu
ya kwanza, mbingu ya pili mipaka ya
tatu (malaika)
Baby kamata simbilisi kadumbukia shimo
la chatuu (malaika), ufunge kanga malo-
nya lonya hata upatuu (malaika), utaka-
like kama bisi nikiyachoma mama kwa
surwasuko (malaika)
Bado siamini mimi, naona kama ni miujiza
(miujiza), asilimia tisini walisema tu-
naigiza wakajipa, udhamini kwenye imani
nguvu za giza, mara hao wanini ana nyota
ya yai viza ona sasa ona
Okocha (jj), tupo kwa mwamposa everyday
penzi kudondoka (nei nei), sabubu wewe
ndio wangu
Malaika, malaika, wewe ndio wangu
malaika, umekosa tu mabawa ila wewe
wangu malaika
Malaika, malaika, wewe ndio wangu
malaika, umekosa tu mabawa ila wewe
wangu malaika
Malaika, malaika, wewe ndio wangu
malaika, umekosa tu mabawa ila wewe
wangu malaika
Malaika, malaika, wewe ndio wangu
malaika, umekosa tu mabawa ila wewe
wangu malaika

No comments yet