LYRIC

Loading

Wakisema nichague tena nitaku-
chagua wewe, Wakisema nipende
tenaa baby wewe (maradhi)

Kifo kitaniumbua achaniweke wazi
michezo unaijua eti maraaniite
dady bi big dady ofcoz mi namuita
baddie, eti illimradi wende yard
nimuonge gari nimsusie Na kadi

kwa kujichulia maamuzi hivi nani
kamruhusu aje kwa juu (huuu), if
am about to loose i better loose
my life babe not you, unanifanya
naimba

oooh ooh ooh (mwenzako nishakuzoea)
oooh ooh ooh (Ukiniacha utanionea)
oooh ooh ooh (mwenzako nishakuzoea)
oooh ooh ooh (Ukiniacha utanionea)

My darling salamaa mi niko salama
babe ali ih salama ooh, naiamuru
serikali kazi ya kulinda mipaka

Mfalme natoa onyo kali kwa yule
anaemtaka khabibi ndo lake jina
wapin nitajidai bila yeye ujanja
sina niache niinjoy

Kwa utani masihara ananiita kwa
ishara, ni mpole chotara wala
hana papara

If am about to choose in a million
i’ll (choose you), if am about to
loose i better loose my life babe
for you, unanifanya naimba

oooh ooh ooh (mwenzako nishakuzoea)
oooh ooh ooh (Ukiniacha utanionea)
oooh ooh ooh (mwenzako nishakuzoea)
oooh ooh ooh (Ukiniacha utanionea)

It’s baby enny call me number one


Added by

lyrics africas

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *

ADVERTISEMENT

VIDEO