![]()
Eh naitwa zuchu zuhura
kiboko ya vigagula, na-
kalisha vikaptula, na-
wafanya kama sungura (
veryy) good…
Bebe, shika uko hapo hapo
hapo, uya, uyayo, iyaa iya
yoo
Bebe, shika uko hapo hapo
hapo, uya, uyayo, iyaa iya
yoo
Eh ambuli chi chi chi (enh)
ambuli cha cha cha (enh)
hamnishikikii (enh), nime-
wachapa chapa (enh) chapa
chapa, chapa… cha cha aaya
twende
Kibiriti akitingishiki hu-
weze kunibania riziki anka-
li sitoi kiki na level zangu
hufiki (Tulia, wewe, sikiliza)
Oyaa ayeee (ayeeee), aooooo
(aooooo), Oyaa ayeee (ayeee)
aooooo (aooooo), iyayo, uyayo
iyayo
Filter kibaoo, nyodo za nini
asa, mtu mwenyewe kumbe ai
embu toka apa, haina kikao
kinyago kigwasa, ukileta mdomo
mdomo nakupiga mimbata
Nakuchukia nakuchukia, Naku-
chukia nakuchukia, Nakuchukia
nakuchukia emm toka apaaa
Kibiriti akitingishiki hu-
weze kunibania riziki anka-
li sitoi kiki na level zangu
hufiki (Tulia, wewe, sikiliza)
Oyaa ayeee (ayeeee), aooooo
(aooooo), Oyaa ayeee (ayeee)
aooooo (aooooo), iyayo, uyayo
iyayo
Added by
lyrics africas
WRITE A COMMENT
WRITE A COMMENT

No comments yet