Loading

(Intro)

Mapenzi matamu
kupendana nawe
ni kusam tena

Mapenzi matamu
kupendana nawewe

(Verse 1)

Hivi ushawahi pendwa
kila unachotaka unafanyiwa
Hivi ushawahi penda aah
kila unachotaka unamfanyia

Yani ukawa connected na
yeye, ukimuwaza anakupigia
hata ukiwa mbali na yeye
sauti yake inajirudia

Mkisikia nimedata hummm
mjue kanipa ubwata humm
msione nimedata aaah, kuna
utamu naupata

(Bridge)

my baby, Baby, this is how
i’m felling for you, ooh
darling this is how, i’m
felling for you

(Chorus)

Mapenzi matamu
kupendana nawe

Mapenzi matamu
kupendana nawewe

(Verse 2)

Inyeshe mvua ama ipige
radi, tutaishinda vita
ya jihad

Umuhimu wako kwangu kama
maji, nikikukosa kwisha
nimedead,

Na kama nikusoma kitabu
ukurasa wa katikati, yani
nimepata jawabu nimepata
bahati

Tena ni bahati ya mtende
chini ya mnazi nimeokota
embe,

Nitafanya vyote sitokuacha
uende, ninacho omba acha
nikupende

(Bridge)

my baby, Baby, this is how
i’m felling for you, ooh
darling this is how, i’m
felling for you

(Chorus)

Mapenzi matamu
kupendana nawe

Mapenzi matamu
kupendana nawewe

Added by

lyrics africas

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *