Loading

(Intro)

Bao ni banani ? juu ba
enjoy kila saa, siye
tuko banani ? juu tujiime
na furaha

Bao ni banani ? juu ba
enjoy kila saa, siye
tuko banani ? juu tujiime
na furaha

(Couplet 1)

Siye ni mukiloko njo tuna
enjoy, hatuchagulake ata
kazi ya kiboyi

Ni mukale kaloko, njo tuna
enjoy… siye tuna kulaka
kubyenye biko tayari

Badi, tuko mu furaha badii
Kama kuko shida utwambiye
kama kuko kitu tuchangiye

Furaha furaha bandiee, ni
saa yenye uko mu famille
Kama kuko shida utwambiye
kama kuko kitu tuchangiye

(Ba petits baokolaaa)

(Refrain)

Aaaaaah jipe furaha ooooh
(Ibwa rahaa), Aaaaaah jipe
furaha ooooh

Loketo to to, neti bitu ya
tiktok, Loketo to to, neti
bitu ya tiktok,

(Couplet 2)

Ni saa una jipendaka, ni saa
una jivuniaka, kale kalolo
umepata ooh aih, kwetu akuna
shida atakama hatujapata

Akuna matata na tukipata
falanga, bring the, bring
the, bring the hennessy

bring the, bring the, bring
the energy

(Ba petits baokolaaa)

(Refrain)

Aaaaaah jipe furaha ooooh
(Ibwa rahaa), Aaaaaah jipe
furaha ooooh

Loketo to to, neti bitu ya
tiktok, Loketo to to, neti
bitu ya tiktok,

Added by

lyrics africas

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *