Loading

(Verse 1)

Waiteni wambea wa kusini na
mashariki, waje kuona (bado
niko nawee), waliongea eti
mbali si hatufiki ikiwachoma

Wakameze mawe kwako chongo
(chongo), mi naona kengeza
Yaani uhondo, unavyonikoleza
Wanatapika nyongo penzi hawa

jaliweza, nakusifu kibongo
nakusifu kingereza

(Bridge)

muchuchu muchuchu, shweet
shweet banana Punga mkono
juu Nakuomba baby simama

leo yako sikukuu, nikupakulie
minyama Upite na huku
wasokupenda uwakere sana

(Chorus)

Uniijie kwa mbwembwe (Unainama)
waonyeshe (unainuka), mama (unai
gusa afu kama unashuka), niongeze
na njonjo

(Unainama), ah madegezyee (unainuka)
ai we we we (unai gusa afu kama
unashuka)

(Verse 2)

Oh baby a, e, i malizia, ouuuh, eh
mwenzio kwa we mi, boya tu, i know
you love me, i love you too, nsipo
kuona ta, te, ti presha juu

Nimegundua, kwanini wananuna, ma
ex zako nakunichukia, maana
unajua wapi pa kukuna kwa kazi
yako unaipatia

(Bridge)

muchuchu muchuchu, shweet
shweet banana Punga mkono
juu Nakuomba baby simama

leo yako sikukuu, nikupakulie
minyama Upite na huku
wasokupenda uwakere sana

(Chorus)

Uniijie kwa mbwembwe (Unainama)
waonyeshe (unainuka), mama (unai
gusa afu kama unashuka), niongeze
na njonjo

(Unainama), ah madegezyee (unainuka)
ai we we we (unai gusa afu kama
unashuka)

Added by

lyrics africas

SHARE

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *